Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Asali Mbichi na Halisi

TSh 12,000
Ad ID
1087708
Posted at
22. Jun, 16:32
Location
Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam
Description

Nauza asali mbichi kutoka Tabora kwa lita jumla na rejareja. Lita moja Tshs. 12,000, lita 5 Tshs.50, 000 na kwa wajasiriamali kama mimi nauza kwa jumla kuanzia lita 20.

Asali yangu ni pure na kwenye package nimekuandikia njia za kutest asali halisi na iliyochakachuliwa. Napatikana dar-mbezi- kibanda na mikoani natuma kwa gharama za mteja kuanzia lita 3.

Betty
Member Since 10. May 2 Active Ads 7 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.