Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Asali Mbichi

TSh 10,000
Ad ID
1046064
Posted at
10. May, 14:19
Details
Price negotiable
Yes
Location
Ilala, Gongo la Mboto Dar Es Salaam
Description

BAADHI YA MARADHI YANAYOTIBIKA KWA KUTUMIA ASALI:

1.Maumivu ya viungo vya mwili
2.Kukatika kwa nywele
3.Ukungu au fungus katika miguu
4.Maambukizi katika kibofu cha mkojo
5.Maumivu ya jino
6.Lehemu isiyotakiwa
7.Mafua
8.Mchafuko wa tumbo
9.Ugonjwa wa moyo
10.Upungufu wa kinga za mwili
11.Matatizo ya afya ya uzazi
12.Matatizo katika mmeng’enyo wa chakula
13.Magonjwa ya ngozi
14.Saratani
15.Maradhi ya kinywa
16.Kupungua kwa usikivu

Tahadhari
Sokoni kuna asali BANDIA ambazo hutengenezwa kwa kutumia maji ya miwa na sukari guru na/au vitu vingine ambavyo sii asali. Ni muhimu kuepuka kununua na kutumia asali bandia, kwani badala ya kuondoa tatizo lako, itakuongezea matatizo mengine mengi.
Endelea kufuatilia makala zijazo, utafahamu mengi zaidi, ikiwa ni pamoja na kutambua ASALI HALISI na namna ya kutumia kuondoa tatizo lako.
BEI: Kg 1 = 10,000.00; 1/2Kg = 6,000.00; na 1/4Kg = 3,000.00

Constantine
Member Since 11. Jun '13 1 Active Ads 3 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.