YANMAH GENERATOR 11KvAGeneretor hii ni rahisi sana
kuiwasha yaani jst unawasha kwa
ufunguo tu kama gariGenerator hii ina magurudumu
yaani inakuwa rahisi kuhamishika.Generator hii ni Closed body yaani
imefungwa na body ili kupunguza
kelele so haina kelele yakukera( silent runing)Generator hii inatumia Diesel yaani
unywaji wake wa Diesel ni mzuri
Diesel ya lita1 tu unaweza kuitumia
hadi kwa masaa mawili yautumiaji.
Generator hii inauwezo mkubwa
sana yaani inatoa umeme mwingi
wakuwasha vitu vingi...