Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
29. Jul, 14:42
Ad ID: 1487518
TSh 6,000 / m²

BUY THESE PLOTS IN DODOMA WITHOUT BROKERS

Dodoma Mjini Dodoma iringa road
Details
Price negotiable
No
Terms
Monthly in advance
Real Estate Type
Offices
Price per square unit
Yes
Square units
600.0 m²
Description

KWANINI UNUNUE KIWANJA MICHESE?

Kwa wasiofahamu

MICHESE-iko barabara ya Iringa karibu na hospital ya mirembe na ni karibu na majengo ya usalama wa taifa.

KUPAKANA-michese inapakana na kikuyu,chidachi,kinyambwa extension na itega

UMBALI TOKA CITY CENTRE-kilomita 6 tu,mwendo wa dakika 8 toka mjini.anayekaa michese ni sawa na mtu anayeishi kisasa au nkuhungu

MADHARI-kwa karibu zaidi inapakana na ITEGA(ambapo palitengwa na CDA kipindi hicho watu wanajenga maghorofa) hivyo mtu anayekaa michese ni sawa na mtu anayekaa karibu na msasani,masaki ama oysterbay kwa dar

MIUNDO MBINU
-Barabara nzuri zinazipitika vizuri muda wote,iwe kiangazi au masika -Huduma muhimu kama maji+umeme ziko karibu.

KUPIMWA
-kumepimwa na manispaa wenyewe,ambapo mwezi May 2018 ilitengwa 5.8Billions kwaajili ya kupima iyumbu,nala,mtumba,michese,ihumwa,mahomanyika,kikombo na nzuguni

NB-serekali kupitia manispaa iliuza viwanja sehemu zote walizopima na kuacha michese kuwa project ya mwisho kuuza sababu ya ukaribu zaidi na mjini kuliko sehemu zingine zote walizopima

DOCUMENT
-viwanja vina in-voice ambao ni mfumo mpya wa document baada yakufutwa kitu kinaitwa offer Letter ili kupunguza matatizo ya viwanja kama watu wawili kumiliki kiwanja kimoja,n.k -in voice ni document inayokusaidia kupata hati( clean title deed) kwa urahisi

UKUBWA WA VIWANJA
-viwanja ni vikubwa na vizuri kuanzia 450 square metres(zaidi ya miguu 15 upana kwa miguu 30 urefu)

BEI ZA VIWANJA VYA MAKAZI
-Manispaa wanauza kwa 8,000/= kwa square metre moja -nilivyonavyo nauza 6,000/= kwa square metre moja

ARDHI NI TAMBARARE NA VIWANJA VIKO KARIBU NA LAMI

Vilikuwa viwanja 39,vimebaki 17 tu.kamatia fursa sasa kabla havijaisha

KWA MAWASILIANO ZAIDI

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
stevenmasaka@gmail.com
Member Since 30. Dec '15 21 Total Ads / 14 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.