Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Usafi wa Nyumbani

Ad ID
1086393
Posted at
21. Jun, 15:01
Location
Other Mwanza District Mwanza
Description

Vumbi pamoja na wadudu husababisha magonjwa na husababisha uharibifu kwenye mazulia na zofa zetu.

Linapokuja swala la kusafisha vitu hivyo si swala la maji na sabuni tu, kwani unaweza sababisha madhara ya kudumu katika vitu vyako.

ASMIK CLEANERS inatoa huduma Ya kukusafishia ambayo itatathmini na kukupatia njia mbadala ya usafishaji

Vifaa, taratibu na bidhaa za kusafishia vimechaguliwa ili kutoa ufanisi, usalama na mazingira rafiki.
Vumbi lote hutolewa, na kuliacha zulia lako likiwa katika usafi, harufu nzuri,na kavu pasi na mabaki ya sabauni.

Asmik Cleaners
Member Since 21. Jun 2 Active Ads 2 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.