2007 Toyota Land Cruiser GX

TSh 50,000,000
Ad ID
784721
Posted at
30. Aug, 14:26
Details
Price negotiable
Yes
Condition
Used
Year
2007
Make
Toyota
Model
Land Cruiser GX
Current location
In Tanzania
Import duty paid
Not Applicable
Car body types
  • SUV & 4WD
Transmission
Stick Shift
Four wheel drive
yes
Location
Ilala, Ilala Dar Es Salaam
Description

TANGAZO LA KUUZA GARI

Mtandao wa Madeni na Maendeleo Tanzania (TCDD) unauza gari aina ya Toyota Land Cruiser PRADO (Station Wagon) yenye namba ya usajili T929 AWK ya mwaka 2007, ukubwa wa Injini 2986, inatumia diesel na ina uwezo wa kubeba watu 8. Liko katika hali nzuri linatembea.

Mtu ambaye anahitaji aombe kwa kuandika barua na aonyeshe bei ambayo ataweza kununua. Barua inaweza kutumwa kupitia sanduku la posta 80147 Dar es salaam au kwa barua pepe. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15/08/2017.

Yeyote ambaye atahitaji kulikagua afike Mtaa wa Shaurimoyo/Songea Jengo la Mariam Tower – Ilala.

Kwa Mawasiliano Zaidi: Piga Simu

tcdd
Member Since 3. Aug 2 Active Ads Active Ads 2 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.