Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
2. Jan, 10:08
Ad ID: 1664314
TSh 25,000

DRIVING GLASS DAY OR NIGHT

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

Bado unashindwa kuona vyema nyakati za usiku pindi ukiendesha gari?
Hasa kutokana na mwanga wa mataa ya vyombo vingine vya barabarani magari,taa za barabarani,pikipiki, bajaji, na JUA KALI? n.k

Sasa jibu lako limepatikana
Tunakuletea miwani itakayokuondolea uoni hafifu wakati kuendesha gari usiku
(DRIVING GLASS HD)

Hi ni miwani maalumu kwaajili ya kuendesha vyombo vya Moto (gari,pikipiki,bajaji n.k) nyakati za usiku au jua kali

Miwani hii husaidia kupunguza mwanga na kukusaidia kuona vyema

Mara kadhaa nadereva wengi hupata tabu kuendesha vyombo vyao hasa wakati wa Usiku kutokana na mwanga kinzani kutoka kwa gari,piki,bajaji inayokuja mbele yako

HD Night Vision Glass itakukinga dhidi ya uoni hafifu hutokanao na mwanga kinzani

English
Features:
Enhance your night vision with a little help from our HD Night Vision Wrap Around Sunglasses.
These amazing glasses feature lightweight, impact-resistant HD lenses that greatly reduce glare while enhancing the color and clarity of your view. HD Vision Night Wrap arounds Night Vision Glasses
Light weight High definition lenses Reduces glare and eye strain Fits over your prescription glasses.HD Vision Night Wraparounds Glasses feature lightweight,impact-resistant HD lenses that greatly reduce glare while enhancing the color and clarity of your view.
Our stylish HD Vision Night Wrap arounds can be worn alone or fit easily over your prescription glasses, eliminating the need for expensive prescription sunglasses. HD Vision Wrap Around Night Vision Sunglasses, yellow-tinted HD lenses helps reduce the glare from oncoming headlights.
Perfect for night driving

Idd
Idd
Member Since 30. Nov '19 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.