Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
18. May, 13:03
Ad ID: 1815515

KUPUNGUZA UZITO NA KITAMBI

Other Mwanza District Mwanza
Description

Je unajua kua na uzito unaweza kukusababishia Kupata ugonjwa wa bawasili na magonjwa ya Presha

Je unajua Kwanini mtu awe nakitambi unajua sababuni nini sababu ya mtu kua na kitambi ni ulaji tunaoku chakula tunacho kula kila siku unajua kinapaswa kitoke kwa njia ya aja kubwa Kama wewe mfumo wako wa mwili uko sawa unapaswa kwenda aja mara tatu kwa siku. Je wewe unaenda mara ngapi aja kubwa

Je unajua chakula tunacho kula kinaanzia wapi jibu lake ni chakula tunacho kula kinaanzia kwenye utumbo mwembamba kwanza kinachunjwa kinacho baki kinasukumwa kwenye utumbo mpana kwa ajili ya kutoka nje Kama uchafu

Je uchafu uo unautoa mara ngapi kwa siku kwa kwenda aja kubwa Kama unakwenda aja kubwa mara moja iyo ndio sababu yakua nakitambi kwasababu uchafu unao chujwa toka kwenye utumbo mwembamba kusukumwa kwenye utumbo mpana autoki kwa wakati unao itajika unapaswa kwenda aja kubwa mara tatu kwa siku Kama ni mara moja unauwezekano wakupata Choo ngumu na utakua uwezekano wa Kupata ugonjwa wa bawasili au vidonda vya tumbo wsi sasa utokane naadha iyo

mbelwaarfuled
Member Since 3. May 2 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.