2017 YBL 6121G

$ 86,000
Ad ID
797843
Posted at
28. Aug, 10:06
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Year
2017
Make
YBL 6121G
Current location
Available For Import
Import duty paid
No
Mileage
300
Bus type
Coaches
Transmission
Stick Shift
Four wheel drive
no
Location
Kinondoni, Ubungo Dar Es Salaam
Description

Yangzhou Asia star bus
Model: YBL 6121G
kwa gharama nafuu zaidi
Gari inakuja katika mifumo miwili ya ekseli 4x2(Single) na 6x2(Terias)
MFUMO WA 4x2(Single):
mpangilio wa siti za 2x2
siti 51+2
Gari inakuja ikiwa na
1.Siti za leather
2.Ac
3.Tv
4.Friji na dispenser
5.Staff keria za kufungua na kufunga(aviation staff carrier)
6.Wifi router
7.Mfumo wa kuchajia simu wa usb
8.Camera za ulinzi

MFUMO WA 6x2(Terias)
Mpangilio wa siti5 2x2=57+2
Gari inakuja ikiwa na
1.Siti za leather
2.Ac
3.Tv
4.Friji na dispenser
5.Staff keria za kufungua na kufunga(aviation staff carrier)
6.Wifi router
7.Mfumo wa kuchajia simu wa usb
8.Camera za ulinzi

INJINI
Mteja anaweza kuchagua injini kati ya
1.Weichai
2.Cummins

GIA BOKSI
Mteja anaweza kuchagua kati ya
1.ZF
2.FAST

Rangi na stika vitawekwa kutokana na matakwa ya mteja

NJIA ZA MALIPO
Unaweza kulipia cash invoice yako ya malipo ikishatoka.

MALIPO KWA AWAMU(installment)
Unatakiwa kulipia asilimia 30%au 25% ya gharama ya gari kipindi utakapoweka oda na vile vile unaweza kuambatanisha na pesa kwa ajili ya ushuru.pesa inayobaki inatakiwa kulipwa ndani ya miezi 12 au mwaka mmoja.
Mteja atapata basi lake baada ya miezi mitatu au miwili toka alivyotoa oda

WARRANTY
ni miaka miwili au km 400,000 au baada ya miaka miwili kwa injini za weichai na mwaka mmoja kwa injini za Cummins.

Alex
Member Since 11. Jul '14 1 Active Ads Active Ads 6 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.