.Ni kufuli linalofunguliwa kwa alama za vidole vyako (fingerprint).
'Unawaingiza alama zao wote unaoataka wawe wanafungua eiza nyumba, ofisi, baskeli, pikipiki au chochote unachotaka kulinda usalama wake.
.Inapokea alama za vidole mpaka watu 30 bila kukosea.
.Hata ikinyeshewa na mvua haiaribiki.
.Imetengenezwa kwa chuma ngumu isiyokatika kwa msumeno
.High strength material, strong, wear resistant, long-lasting.
.Perfectly used for doors, cabinets, bikes, backpacks, storage lockers, etc.
.Key...