Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Pata Kitabu

TSh 5,000
Ad ID
1152111
Posted at
5. Sep, 11:05
Details
Delivery Offered
Yes
Price negotiable
Yes
Condition
New
Location
Kibaha Mjini Pwani
Description

Kama unahitaji kitabu chochote (Bure) duniani, ingia website hii:
www.pdfdrive.net

Pia kuna vitabu muhimu vya kiswahili nimeandaa ,vinapatikana whatsapp kwa tzs 5,000/- kwa @ .Vitabu hivyo ni:

1.Jifunze kutengeneza bidhaa 15 ukiwa nyumbani ikiwemo sabuni zote,mshumaa,chaki n.k

2.Ufugaji kuku wa asili na kuku wa kisasa kwa nyenzo zinazokuzunguka

3.Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao mengi ikiwemo Mihogo,bamia, miwa, maharage,vitunguu,matiki maji,ufuta,pilipili hoho. Bamia,Ufuta,Nyanya ,papai

4.Jinsi ya kujenga nyumba kwa gharama nafuu (kuanzia milioni 7 kwa malipo ya awamu hadi miaka 5)

5.Ufugaji samaki kitaalamu na kibiashara

6.Mchanganuo wa biashara(Business Plan) na Makubaliano ya kusajili kampuni (Memorandum and article of association)

7.Jifunze kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti

Kwa maelezo yeyote ikiwemo kujifunza kwa vitendo wasiliana nami kwa namba :0713-039875

Member Since 10. May 1 Active Ads 5 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.