Namna ya Kutafuta Ofisi Tanzania

  | 3 min read
0
Comments
585

Ni kawaida sana Tanzania kufanya nyumba itumike kama ofisi. Ila, kutafuta ofisi ni tofauti sana na kutafuta nyumba. Ukiwa una tafuta ofisi, inabidi ufikirie watu wengi. Kila kitu kuanzia mahali, ukubwa, parking na hata vyoo vitakuwa muhimu kwa wafanyakazi wako.

Ukitoa gharma, zifuatayo ni vitu muhimu vya kuzingatia kuwa unatafuta nyumba:

1. Mahali

Kutegemeana na aina ya biashara yako, mahali inaweza ikafanya biashara yako ifanikiwe au ifungwe.

Kwa hiyo fikiria wateja wako ni nani na ni kwa njia gani unawasiliana nao.Kama unawasiliana nao kwa simu na barua pepe, basi kuwa sehemu inayopatikana kiurahisi si lazima.

Aidha, fikiria mahitaji ya kila siku ya wafanyakazi na wateja wako, zikiwemo:

 • Wateja wako wantokea wapi?
 • Foleni
 • Usalama wa eneo hiyo
 • Usafiria wa umma
 • Upatikanaji wa chakula, maduka n.k

2. Muonekano wa ofisi kwa nje

Muonekano wa ofisi yako kwa nje ni kitu cha kwanza mteja anachoangalia. Kwa hiyo, angalia kama:

 • Ofisi ina geti?
 • Ofisi ina nyumba ya walinzi?
 • Kuna nafasi za kupark magari yakutosha.
 • Kuna chochote cha nyongeza? Kwa mfano, bustani au nafasi ya kufanya sherehe.

3. Ofisi kwa ndani

Maswali ya kuuliza ni:

 • Kuna nafasi ya kutosha wafanyakazi na vifaa vyote vya ofisi?
 • Kuna vyoo vya kutosha?
 • Unaruhusiwa kupapamba?
 • Kelele – ukuta ni nyembamba? Unaweza kusikia kelele kutoka nje?

Ofisi ni nyumbani pia

Ingawa kuna vitu vingi vya kufikiria ukiwa unatafuta ofisi, mwisho wa siku unatafuta sehemu yenye mazingira ya kuwezesha biashara yako ikue. Mradi unazingatia mahitaji ya wafanyakazi na wateja wako, utapata ofisi nzuri.

Tunadhani kwamba vidokezo hivi vitakusaidia kutafuta unachotaka. Pitia matangazo ya ofisi kutafuta moja itakayokufaa.

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.