Mbuga ya Wanyama ya Tarangire – Ukweli, Makala na Zaidi

  | 2 min read
0
Comments
7422

Mbuga ya wanyama ya Tarangire imepata jina lake kutokana na mto unaopita ndani ya mbuga hii. Wakati wa joto, mto huu unavutia idadi ya wanyama inayokaribia za Serengeti, zikiwemo nyumbu, pundamlia, pofu, kongoni, nyati, gerenuk, na choroa.

Mbuga ya Wanyama ya Tarangire – Ukweli, Makala na Zaidi
Features

Size: 
2,600 sq km (1,005 sq miali).

 

Ni 118 km (75 maili) kusini magharibi mwa Arusha.

 

Getting to: 
Safari ya lisaa limoja na nusu au dakika 30 kwa ndege, kutoka Arusha.

 

Best time to visit: 
Kati ya Juni na Septemba, ambapo kuna wanyama wengi.

Accomodation & Services

 

Kwa nini upatembelee?

Nje ya Serengeti, Tarangire ina mkusanyiko mkubwa wa wanyamapori.

Imepata umaarufu kutokana na mamia ya tembo waliopo ndani yake pamjoa na nyumbu, pundamilia, nyati, impala, paa, kongoni na pofu zinazo tawanyika kwenye eneo la 20,000 sq km kila mwaka, kabla ya kurudi kwenye Mto wa Tarangire kusakwa na simba na chui.

Pia, kwa kuwa ina zaidi ya aina 550 za ndege, zikiwemo Kori bustard (ndege nzito duniani ya kupaa) na thighed mbuni  (ndege kubwa duniani), Tarangire ina aina ya ndege nyingi zinazozalisha katika mazingira moja, kuliko kokote kwingine duniani.

 

 Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.