Mbuga ya wanyama ya Rubondo – Ukweli, Makala na Zaidi

  | 1 min read
0
Comments
1023

Mbuga ya wanyama ya Rubondo ni kisiwa iliopo Ziwa Victoria na inawanyama wengi mbalimbali. Kwa kuwa sio rahisi kupafikia na hivyo, haitembelewi na watu wengi, ina samaki nyingi. Pia, wanyama wakubwa kama tembo, viboko na mamba yanaonekana pale.

Mbuga ya wanyama ya Rubondo – Ukweli, Makala na Zaidi
Features

Size: 
240 sq km (93 sq miali).

 

Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, 150km (95 maili) magharibi mwa Mwanza.

 

Getting to: 
Na ndege kutoka Arusha au Mwanza. Au kwa gari kutoka Mwanza alafu kwa boti.

 

Best time to visit: 
Msimu wa kiangazi, Juni mpaka Agosti. Mimea na vipepeo vipo zaidi kwenye msimu wa Masika Novemba mpaka Machi. Kwa uhamiaji wa ndege, Desemeba mpaka Febuari.

 

Accomodation & Services

 

Kwa nini upatembelee?

Ikiwa kusini mashariki mwa Ziwa Victoria kwenye kisiwa cha Rubondo, inatoa ulinzi kwa maeneo ambayo samaki wanazalishana. Sangara wa Nile na tilapia zinawavutia wavuvi kutoka duniani wanaotaka kuvunja rekodi. Pia, mamba, tembo, viboko, twiga na wengine zipo Rubondo.

Ugumu uliopo kufika Rubondo inawafaidi ‘wenyeji’ wake, hasa ndege.

Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.