Mbuga ya wanyama ya Olduvai Gorge – Ukweli, makala na zaidi

  | 1 min read
0
Comments
692

Olduvai Gorge, linalojulikana pia kwa jina la ‘chimbuku la binadamu’, ni moja kati ya maeneo muhimu kwenye historia ya visukuku na asili yetu ya kibinadamu. Bonde hili linapita ndani ya Serengeti na Afrika Mashariki kwa 48km (30 maili).

Mbuga ya wanyama ya Olduvai Gorge – Ukweli, makala na zaidi
Features

Size: 
48km (30 maili) kwa urefu, 90m (295 futi) kwenda chini.

 

Tambarare mashariki ya Serenget, kaskazini mwa Tanzania.

 

Getting to: 
Masaa matatu kwa gari kutoka Arusha.

 

Best time to visit: 
Kati ya Juni na Oktoba au Januari mpaka Febuari.

 

Accomodation & Services

 

Kwa nini upatembelee?

Mifupa, visukusuku na mabaki ya kale yamekutwa hapa na yanaaminka kuwa vyombo vya vilivyotumika na binadamu wa kwanza. Kwa hiyo, eneo hii ni muhimu sana kuonyesha maendeleo, tabia na matatizo ya mababu wetu.

Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.