Mbuga ya wanyama ya Mkomazi – Ukweli, makala na zaidi

  | 1 min read
0
Comments
995

Kama mbuga ya wanyama iliyo mpya kuliko zote Tanzania, inajulikana kwa kuwa na vifaru vyeusi, lakini pia ni nyumbani kwa diki-diki, eland, ndege nyingi na vipepeo vingi. Ni sehemu nzuri sana kuangalia wanyama waliohatarini kuisha, na kutembea.

Mbuga ya wanyama ya Mkomazi – Ukweli, makala na zaidi
Features

Size: 
3,245 sq km (1,240 sq miali)

 

Iko mpakani na Kenya, 200km kabla ya kaskazini magharibi mwa Arusha.

 

Getting to: 
Kwa barabara kutoka Arusha, Moshi au Tanga.

 

Best time to visit: 
Utaona mimea na vipepeo vizuri kati ya Desemba na April.

 

Accomodation & Services

 

Kwa nini nipatembelee?

Mbuga hii ina 90% ya aina za mimea utakazokuta Tanzania, thuluthi moja zikiwa za kipekee duniani.

Pia, ni nyumbani kwa Mradi wa Vifaru Mkomazi, ambayo inahusika na kuleta vifaru vyeusi kutoka Afrika Kusini ili wazalishe kabla ya kupelekwa katika habita asili ndani ya Tanzania.

Aidha, kuna aina 3500 za vipepeo na zaidi za nondo. Pia, zaidi ya aina 450 za ndege zimerekodiwa ndani ya mbuga hii.

Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.