Mbuga ya wanyama ya Milima ya Mahale – Ukweli, Makala na Zaidi

  | 1 min read
0
Comments
485

Kama jirani wake Gombe, mbuga ya wanyama ya milima ya Mahale ni nyumbani kwa zaidi ya sokwe 1000. Pamoja na sokwa, utawakuta nyani mbalimbali, nguruwe pori, civet na mengineyo.

Mbuga ya wanyama ya Milima ya Mahale – Ukweli, Makala na Zaidi
Features

 

Size: 
1,613 sq km (623 sq miali).

Location:

Iko magharibi ya Tanzania, kwenye mpaka wa ziwa Tanganyika.

 

Getting to: 
Panda tange kutoka Arusha, Dar au Kigoma. Au panda boti kutoka Kigoma, ambao itachukua kati ya masaa 3 – 4.

 

Best time to visit: 
Msimu wa kiangazi (Mei – Oktoba) ndio msimu mzuri wa kutembea. Oktoba/Novemba nazo zinafaa ingawa kuna mvua ndogondogo.

Accomodation & Services

 

Kwa nini upatembelee?

Eneo  hii pia inajulikana kwa jina la Nkungwe, ambayo ni mlima mkubwa zaidi ndani ya mbuga hiyo ikiwa na urefu wa 2,460m (8,069 futi).

Na ingawa sokwe ndio vutio kuu, misitu utakayokuta mlimani yana ndege mbalimbali. Pia, kuna nyati, tembo, twiga, simba na mengineyo.  

Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.