Mbuga ya Wanyama ya Mikumi – Ukweli, Makala na Zaidi

  | 1 min read
0
Comments
2693

Mbuga ya wanyama ya Mikumi ni rahisi kutembelea kutoka Dar es Salaam na inamfaa mtu mwenye muda mdogo wa safari lakini anyetaka kuona wanyama wengi. Kuna tembo, twiga, simba, pundamlia, nyumbu na mengineyo.

Mbuga ya Wanyama ya Mikumi – Ukweli, Makala na Zaidi
Features

 

Size: 
3,230 sq km (1,250 sq miali).

 

Location:

283km (175 maili) magharibi ya Dar, kaskazini mwa Selous na iko njiani kwenda Ruaha, Udzungwa na Katavi.

 

Getting to: 
Unaweza kufika kwa mgara kwa masaa 4 au kwa ndege kwa lisaa limoja, kutoka Dar.

 

Best time to visit: 
Muda wowote ndani ya mwaka.

 

Accomodation & Services

 

Kwa nini upatembelee?

Kwa kuwa mtu anaweza kufika Mikumi kiurahisi, ni moja kati ya mbuga za wanyama zinazotembelewa zaidi Tanzania. Sehemu kubwa inayojaa maji ya Mkata na milima yaliyo kwenye mpaka wa Mikumi yana tawala mbuga hii. Pia, swala kubwa duniani ya Eland, nayo ipo hapo.

Pamoja na hayo, kuna aina 400 za ndege utakazokutanana nazo huko.

Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.