Mbuga ya wanyama ya Lake Manyara – Ukweli, makala na zaidi

  | 2 min read
0
Comments
736

Ziwa Manyara inajulikana kwa kuwa na simba zinazo panda miti, wakijilaza kwenye matawi ya miti ya Acacia. Pia, ni nyumbani kwa nyati na viboko, twiga, impala, pundamilia, tembo, nyani ya bluu na vervets, mhanga, civet, pongo, kuro, chui na pangolin zenye aibu. Pamoja na hayo, kuna ndege na flamingo pia.

Mbuga ya wanyama ya Lake Manyara – Ukweli, makala na zaidi
Features

Size: 
330 sq km (127 sq maili), ambayo hadi 200 sq km ni ziwa kila mara viwango vya maji yanapanda.

Location:

Iko kaskazini mwa Tanzania. Geti la kuingilia ni lisaa limoja na nusu magharibi ya Arusha kwa kutumia barabari mpya, karibu na mji Mto wa Mbu.

 

Getting to: 
Dakika 30 kutoka Arusha na gari.

 

Best time to visit: 
Kipindi ja joto (Julai – Oktoba) kuna wanyama wengi wakubwa. Kipindi cha mvua (Novemba – Juni) kuna ndege wengi.

Accomodation & Services

 

Kwa nini nipatembelee?

Pamoja na simba zinazopanda miti, Manyaro ni utangulizi mzuri kwa maisha ya ndege Tanzania. Zaidi ya aina 400 za ndege zimerekodiwa na hata mtu ambaye amefika Afrika kwa mara ya kwanza anaweza kutegemea kuona 100 kwa siku mmoja. Kuna flamingo pamoja na pelicans, cormorants na storks.

Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.