Mbuga ya wanyama ya Kitulo Plateau – Ukweli, Makala na Zaidi

  | 2 min read
0
Comments
512

Mbuga ya wanyama ya Kitulo ina Kitulo Plateau ndani yake, ambaye ina mimea ya aina yake kati ya Desemba na Machi. Kunamatope ukiwa unatembea humo ila utafurahia maua na ndege zilizo hapo.

Mbuga ya wanyama ya Kitulo Plateau – Ukweli, Makala na Zaidi
Features

 

Size: 
442 sq km (172 sq maili)

 

Iko kusini mwa Tanzani, 100km kutoka Mbeya Mjini. Makau makuu yapo Matamba.

 

Getting to: 
Ni masaa 2 – 3 kutoka Mbeya na inabidi utumie gari ya 4×4.

 

Best time to visit: 
Wildflower zinajitokeza kati ya Desemba na April. Kuna baridi na ukungu kati ya June na August. Hali ya hewa nzuri ya kutembea ni kati ya Septemba na Novemba.

Accomodation & Services

 

 

Kwa nini upamtebelee?

Yakiwa yamezungukwa na mili ya Kipengere, Poroto na Livingstone, nyika kubwa naya muhimu zaidi nchini yako kwenye udongo wa Kitulo.

Mbuga ya wanyama ya Kitulo inajulikana kwa mimea yake. Kuna aina nying ya mimea zikiwemo  aina mbalimbali ya udi, gernaiums na aster daises. Baadhi ya mimea haya yanapatikana kusini mwa Tanzania tu.

Zaidi ya hapo, kitulo ni nyumbani kwa Kipunji (Highlands Mangaey) ambayo ni nyani ya kipekee Afrika. Pia, Kitulo ni nyumbani kwa aina nyingi za ndege, nyingi ambazo zinapatikana Tanzania tu.

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.