Mbuga ya Wanyama ya Kilimanjaro: Ukweli, makala na zaidi

  | 1 min read
0
Comments
1041

Mbuga ya wanyawa ya Kilimanjaro inashika nafasi ya pili kati ya mbuga zote Tananza kwa kutembelewa. Ina Mlima Kilimanjaro, ikiwa na ruti za kuipana zenye urahisi pamoja na zenye changamoto. Msitu inayoizunguka mlima huo imechangamka ikiwa na tembo, chui, viboko, bushbuck, nyani, swala na Abbotts duiker (ambayo ipo hatarini).

Mbuga ya Wanyama ya Kilimanjaro: Ukweli, makala na zaidi
Features

 

Size: 
290.9 mi²

 

Location:

Iko kaskazini wa Tanzania, karibu na Moshi na Arusha.

 

Getting to: 
Ina umbali wa lisaa limoja kwa kutumia gari kutoka Moshi au KIA.

 

Best time to visit: 
Hali ya hewa ni nzuri kuanzia Desemba mpaka Febuari. Pia, Julai mpaka Septemba , ila kuna baridi zaidi.

Accomodation & Services

 

 

Kwa nini upatembelee?

Mlima Klimanjaro ina senta tatu kuu za volkeno; Shira iliyopo magharibi, Mawenzi iliyopo Mashariki na Kibo katikati.

Zaidi ya urembe wa kipekee yam lima huo, kuna wanyama wengi ndani ya mbuga hii zikiwemo pimbi ya mti, pongo, funo za kijivu na nyekundu, nyati za cape, chui, nyani za colobus, nyani za bluu na tembo

Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.