Mbuga ya Wanyama ya Katavi – Ukweli, makala na zaidi

  | 2 min read
0
Comments
1225

Mbuga ya wanyama ya Katavi ni wa tatu kwa ukubwa kati ya mbuga zote Tanzania. Ina vyanzo tatu vya maji zikiwemo Ziwa Katavi, mto Katuma na mengine. Matokeo yake ni kwamba ni nyumbani kwa viboko na mamba vingi Tanzania. Pia, Ziwa Katavi ina nyati, tembo, swala, chui, simba, punda milia za kutosha, na zaidi ya aina 400 za ndege.

Mbuga ya Wanyama ya Katavi – Ukweli, makala na zaidi
Features

Size: 
4,471 sq km (1,727 sq maili)

Location:

Iko kusini magharibi, mashriki mwa Ziwa Tanganyika. Makao makuu zilizopo Sitalike ziko 40km (25mi) kusini mwa Mpanda Mjini.

 

Getting to: 
Panda ndege kutoka Dar au Arusha, au nenda kwa gari kutoka Mbeya au Kigoma kwa siku nzima.

Accomodation & Services

 

Kwa nini upatembelee?

Katika msimu wa kiangazi, maji yanapungua na kuna chanzo mmoja tu wa maji ya kunza kwa maili nyingi sana. Matokeo yake ni ikadiriwa kwamba tembo 4000 wanafika kwenye chanzo hiyo pamoja na maelfu ya nyati. Pia, wingi wa twiga, punda mlia, impala na reedbuck zinaishia kuwa chakula kwa vikundi vya samba na fisi.

Ila, kivutuio kikubwa cha wanyama inatoka kwa viboko. Mwishoni mwa msimu wa kiangazi, hadi viboko 200 vinaweza kukutana kwenye bwawa lolote yenye kina ya kutosha. Na hivyo, mapambano ya kumiliki maeneo yanatokea.

Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.