Mbuga ya Wanyama Gombe – Ukweli makala na zaidi

  | 2 min read
0
Comments
1410

Mbuga ya Wanyama ya Gombe ni ndogo kuliko zote Tanzania, na ina milima na ziwa Tanaganyika kwenye mpaka wake. Imefunikwa na misitu na inajulikana kwa jamii za sokwe zilizochunguzwa na Jane Goodall. Zaidi ya kuwa na sokwe, pia kuna baboon, nyani zenye mkia mwekundu, nyani za bluu na nyani za vervet.

Mbuga ya Wanyama Gombe – Ukweli makala na zaidi
Features

Size: 
52 sq km (20 sq maili)

Location:

Iko magharibi mwa Tanzania; Kaskazini mwa Kigoma kwenye pwani wa ziwa Tanganyika.
 
Getting to: 
Kwa boti kutoka kigoma (itachukuwa kati ya lisaa 1 au 3). Unaweza kuendesha gari mpaka Kigoma kwa kutumia barabara ya vumbi, ukatumia treni au ukapanda ndege kutoka Dar au Arusha.
 
Best time to visit: 
Nyani wanapatikana Februari. Piga picha bora Desemba. Mvua kubwa Novemba.

Accomodation & Services

Kwanini upatembelee?

Gombe inajulikana kwa jamii za sokwe zilizo pata umaarugu kupitia utafiti na uchunguzi wa tabia iliyonfanywa na Jane Goodall. Kwenye utafiti wake, alikuta kwamba binadamu na nyani tuna tabia nyingi zinazofanana na kwamba “sio binadamu tu walio na utu, wenye uwezo wa kufikiria au wanasikia furaha au huzuni”.

Zaidi ya nyani, kuna zaidi ya aina 200 za ndege, aina 11 za nyoka, viboko, chui na nguruwe pori.

Sasa unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.