Mbuga ya Wanyama Arusha: Ukweli, makali na zaidi

  | 1 min read
0
Comments
855
Size: 
552 sq km (212 sq maili)
 
Location: 
Kaskazini mwa Tanzania, kati ya Arusha na Kilimanjaro
 
Getting to: 
Dakika 45 kutoka Arusha au lisaa limoja kutoka KIA, na gari.
 
 
Best time to visit:
Ni bora kupanda mlima Meru kati ya Juni na Febuari, ingawa huwa inanyesha November. Mlima Kilimanjrao inaonekana vizuri zaidi kati ya Desemba na Febuari.
 

Accomodation & Services

Park fees

Park map

Safari Lodges

Camp sites

Kwa nini upatembelee?

Mbuga ya wanyama Arusha ni moja kati ya mbuga zote yenye vitu vingi vya kuona. Muda wa machweo na alfajiri mlima Kilimanjaro inaonekana kwa maringo ikiwa na umbali wa 50km kutoka kwenye mbuga hii. Vilevile, Mlima Meru umesimama wima na huonekana kwa kishindo.

Meru inatoa mtazamo mzuria wa jirani wake maarugu, lakini pia, ni pazuri kwa kutembea. Kaskazini utakutanana na urembe tulivu wa Ziwa za Momela, kila moja ikiwa na aina tofauti ya rangi za kijani au bluu. Zaidi ya hapo, unaweza kukutana na maelfu ya flamingo na wanyama wengine tofauti kwenye ziwa hiyo.

Twiga na pundamlia zinakaa pamoja wakat diki-diki zinacheza cheza. Pia, Ngurdoto Crater ina wanyama wengi sana.

Sasa, unasubiri nini? Anza kupanga safari yako sasa hivi!

Iman Lipumba
A digital storyteller, experienced in creating content that improves website visibility on search engines, enhances the user experience, and nurtures brand loyalty. With a background in the social sciences, an expert in researching complex ideas, and communicating them in engaging language to multiple audiences.