Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Business ID: 670598

Yetu Microfinance Bank Public Limited Company

Ilala, Gerezani Dar Es Salaam Kidongo Chekundu
About Us

FURSA YA MAFUNZO YA KILIMO CHA GREEN HOUSE
Kwa mara nyingine tena Yetu Microfinance Bank Plc imeandaa mafunzo ya kilimo cha green house na umwagiliaji wa matone(drip irrigation). Semina itaendeshwa na wataalam kutoka kampuni ya Greentek pamoja na YOSEFO(Youth Self Employment Foundation). Semina itafanyika kuanzia tarehe 28 November mpaka tarehe 30 November. Kwa awamu nyingine tena, semina hii itafanyika Dar es salaam maeneo ya JET LUMO. Kupitia semina hii, utajifunza yafuatayo;

 1. Green House ni nini?
 2. Mazao gani yanalimwa kwenye Green House?
 3. Green House inajengwa kwenye mazingira gani?
 4. Ujenzi wa Green House unagharimu kiasi gani?
 5. Umuhimu wa umwagiliaji wa matone(Drip Irrigation)
 6. Changamoto za Kilimo cha green house
 7. Faida za Kilimo cha mfumo wa Green House
 8. Utaratibu wa mikopo ya ujenzi wa green house kutoka YETU MICROFINANCE BANK PLC
  Mafunzo yatajumuisha kutembelea shamba darasa letu lilipo Dar es salaam. Ada ni 50,000 Tshs.(inajumuisha chai, chakula cha mchana pamoja na stationaries kwa siku zote 3)
  WALENGWA: Wajasiriamali wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha kisasa. Kujisaliji tupigie simu
Yetu Microfinance Bank Public Limited Company
Member Since 30. Dec '12 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.