Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Waadilifu Hydroponic Farming Tanzania

About Us

WAADILIFU HYDROPONIC FARMING TANZANIA NI TAASISI INAYOJISHUGHULISHA NA UFUNDISHAJI WA NAMNA YA KUTENGENEZA CHAKULA CHA MIFUGO YA AINA ZOTE KWA WAFUGAJI. KILIMO HIKO HAKITUMII UDONGO.

LENGO LA TECHNOLOJIA HII NI KUMWEZESHA MFUGAJI KUPUNGUZA GHARAMA ZA CHAKULA CHA MIFUGO YAKE KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50%. PIA HUMWEZESHA MFUGAJI KUWA NA MIFUGO YENYE UBORA WA HALI YA JUU SANA.

MIFUGO INAYOLENGWA HAPA NI KAMA VILE KUKU, KANGA, BATA, MBUZI, KONDOO, NG'OMBE, NGURUWE N.K.

Business Address
Temeke, Mtoni Dar Es Salaam MTAA WA KIVULINI, NYUMA YA EQUATOR GRILL
Business ID
713246
Waadilifu Hydroponic Farming Tanzania
Member Since 7. Aug '16 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.