Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Business ID: 635360

Vunja Bei Matelephones

Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam Kariakoo, Aggrey street.
About Us

Nauza top best smartphones za kisasa ambazo ni brandnew na 4G Lte kwa bei pouwa.
(Mfn: S7edge, iphone 6s, Xperia z5, LG G4, Moto X, Note 5, Huawei Mate S, P8, HTC M9+ etc)
Pia simu ndogo za kawaida km Note3, huawei p8 lite, samsung S5 pamoja na Ipads na samsung tablets zipo.

simu zote ni original na mpyaa, mzigo unaingia kila baada ya 2 weeks kutoka south.

Kuna simu kali tofauti tofauti.
Kama unahitaji smartphone ya kisasa, mpyaa na Original kwa bei pouwa kuliko popote pale Dar es Salaam nichek mzee wa kuvunja bei
Au fika dukani kwangu Kkoo Aggrey.

Vunja Bei Matelephones
Member Since 18. Sep '12 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.