Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Business ID: 1405371

TOVL Tanzania

Ubungo, Ubungo Dar Es Salaam Ubungo
About Us

Maktaba ya Mtandaoni ni maktaba ya kwanza nchini tanzania ambayo inapatikana asilimian 100 kupitia mtandao. kupitia tovuti hii www.tovl.ac.tz
ili kuweza kusoma vitabu humo ni lazima uwe mwanachama.
kuwa mwanachama ni rahisi na bure.

Tembelea www.tovl.ac.tz
bofya "create account"
jaza nafasi wazi
utapokea sms kupitia email au namba yako ya simu.
thibitisha uanachama wako na anza kusoma vitabu
utapewa siku 3 za bure kusoma vitabu na baada ya hapo utalipia Tshs 500 kwa wiki au tshs 2000 kwa mwezi.
utalipa kupitia Mpesa, tigo pesa, airtel money au halopesa.
karibu kwenye maktaba yet.

TOVL Tanzania
TOVL Tanzania
Member Since 10. May '19 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number
Contact Business
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.