Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Business ID: 526436

Temboni Secondary School

Kinondoni, Kimara Dar Es Salaam Temboni Kimara. shuka kituo cha temboni upande wa kushoto kama unatokea ubungo na vuka barabara kama unatokea mbezi na chukua bodaboda watakuleta moja kwa moja shuleni
About Us

Shule yenye sifa na mzingira mazuri
ya kujifunza. tunatoa ofa ya punguzo
la ada ambalo halijawai tokea.

Lipa Tshs 450,000/= tu kwa kidato cha kwanza na
Tshs 500,000 /= tu kwa kidato cha Pili na cha Tatu.
Ada italipwa kwa hawamu
Ofa hii ni kuanzia tarehe 20/11/2014 hadi 30/12/2014

Ofa ni kwa wanaojiunga na wanaohamia peke yake
Nafasi za kidato cha NNE na PC bado zipo

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi.
Mlete mwanao apate elimu bora na uangalizi mzuri

Karibu sana sana

Temboni Secondary School
Member Since 14. May '13 0 Total Ads / 0 Active Ads

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.