Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Tanzania Science Education Development Agency (TSEDA)

About Us

TSEDA TANZANIA NI SHIRIKA LINALOJIHUSISHA NA MAENDELEO YA ELIMU YA SAYANSI TANZANIA KWAKUFANYA
1.TRAINING AND TEACHING
2.COUNSELLING
3.MOTIVATION
4.RENOVATION,
5.MENTORSHIP
6.INSPIRATION
Shirika sasa linawatagazia programu maalumu yakujiandaa na mtihani wa kidato cha nne mwaka 2017,tunafundisha masomo haya
a)PHYSICS
b)CHEMISTRY
c)BIOLOGY
d)MATHEMATICS
Pia practicals zote
Kwa wale wafanyakazi wanaojiendeleza kwakusafisha cheti au kujiongezea taaluma,tunafundisha kulingana na muda utakao uchagua na tutakufuata mahali utakapotaka wewe,mwanafunzi atafundishwa mbinu mbalimbali za kuwa jasiri katika mtihani nakupangilia kazi yako vizuri,na mbinu nyingine nyingi ambaizo zimefanyiwa utafiti.

HATA KAMA HAUJA SOMA CHOCHOTE MPAKA MUDA HUU,AU UMESOMA HUKUELEWA,SISI TUTAANZA MWANZO UTASOMA VYOTE KUANZIA KIDATO CHA KWANZA MPAKA CHA NNE NA UTAELEW.

Business Address
Kinondoni, Ndugumbi Dar Es Salaam NDUGUMBI SHULE YA MSINGI
Business ID
716045
Tanzania Science Education Development Agency (TSEDA)
Member Since 13. Mar '17 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.