Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Sinza EAGT Saccos

About Us

Chama cha SINZA EVANGELICAL CHURCH SACCOS (SECS), kilianzishwa rasmi tarehe 5/02/2005 , kwa juhudi za mwasisi wake ambaye ni ndugu Mary Mkondya, chini ya uongozi thabiti wa maafisa ushirika akiwemo ndugu Rose Mhekwa na ushauri mzuri wa walezi wa chama Mchungaji Dr. Alphonce Mwanjala pamoja na Mchungaji Caristi Masalu ambaye kwa sasa ni marehemu.

Chama hiki cha SACCOS kilianzishwa kwa madhumuni ya ni kuinua na kustawisha hali ya maisha ya wanachama kikiwa na wanachama ishirini na nane (28) wote wakiwa wanawake ambapo mpaka sasa kina wanachama zaidi ya 220.

Ili kuwa mwanachama wa SINZA EVANGELICAL CHURCH SACCOS, karibu kwenye ofisi zetu zilizopo Dar es salaam eneo la sinza makaburini karibu na kanisa la sinza evangelical church upate elimu ya ziada juu ya faida za kuwa mwanachama wa saccos (haswa yetu), namna ya kuweka ili uwezeshwe ukawekeze.

Business Address
Sinza Makaburini near Mwika Hall close to EAGT Church- Sinza
Business ID
510631
Sinza EAGT Saccos
Member Since 8. Mar '14 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.