Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Riverside Education Centre

About Us

RIVERSIDE EDUCATION CENTRE IMEANZA KUTOA MASOMO YA ZIADA KWA UBORA SANA KWA:
PREFORM FIVE 2014, FORM FIVE/SIX PCM, PCB, HGK, HGL, HGE, PGM, EGM, ECA NA CBG, WANAFUNZI WA O-LEVEL, WANAORESEAT, QT NA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI
Ubora:
Sisi ni walimu wazuri wenye elimu nzuri ya chuo kikuu, ujuzi, bidii na uzoefu toka shule mbalimbali bora DSM tumeunganisha nguvu kutoa elimu bora baada ya kazi yaani competence based education kwa gharama nafuu muda wa jioni kuanzia saa 9 hadi saa 1jioni. Kuanzia sasa karibu wewe au mwanao.
Tumeandaa:

  1. Vitabu na pastpapers za reference pia computers kwa ajili ya internet kwa reference.
  2. Tutafanya pia practicals.
  3. Tutatoa majaribio na mitihani kila jumapili na jumatano kwa atakayependa kwa gharama nafuu sana.
  4. Darasa nzuri lenye kiwango kizuri cha ubora wa kisasa.
    Tupo riveside ubungo karibu na kanisa la KKKT, pia karibu na mzee wa upako njia ya makoka.
    Call 0769565810 email: riversideeducationcentre@gmail.com upate maelekezo ya kituo.
Business Address
Kinondoni, Ubungo Dar Es Salaam Karibu na KKKT makoka na SDA Ubungo Hill
Business ID
513487
Riverside Education Centre
Member Since 30. May '13 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.