Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Business ID: 640067

Nzua Enterprises

Kinondoni, Wazo Dar Es Salaam Tegeta Kibaoni.
About Us

We deal with raising and hatching local chicken, turkeys, guinea fowls, rabbits and ducks.
Products
Ducks
Turkeys Rabbits
Guinea Fowl
Local Chicken

we provide chicks,feeds, veterinary support to farmers and individuals. we later buy meat and eggs from these farmers

Karibu nzua enterprise. Ufugaji kwanza Jipatie vifaranga bora wa kuku wa kienyeji. Tunatotolesha vifaranga kwa mashine
Pia jipatie
kuku wa kienyeji
bata waliochinjwa
Njiwa
Kanga
Bata Mzinga
Sungura. NK

kwa wafanyabiashara tunawapatia vifaranga, chakula na huduma zote muhimu kama madawa tiba na msaada kipindi chote cha ufugaji. pia tunawapa soko kwa kununua nyama na mayai pindi watapokuza mifugo hio.

Nzua Enterprises
Member Since 14. Jul '16 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.