Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Business ID: 831223

MK Secondary School

Malambamawili Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam Msigani, Ubungo Dar es Salaam
About Us

MK SCHOOLS
FORM ONE 2018
Ndugu Mzazi/Mlezi tunachukua nafasi hii kukufahamisha kuwa;
i. Tunasajili wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2018.
ii. Kuna nafasi za kutwa (day) na bweni (Boarding).
iii. Ada zetu ni nafuu sana
iv. Form ya kujiunga inapatikana kwa shilingi 10,000/=.
Shule ina walimu wazuri na wenye uzoefu. Wanafunzi watasoma Computer kwa vitendo kwa miaka yote minne ya elimu ya Sekondari. Watasoma pia lugha ya Kifaransa kama somo.
Karibu Shuleni MK Secondary kwa ufafanuzi zaidi. Shule ipo Wilaya ya Ubungo Dar es Salaam

MK Secondary School
Member Since 19. Aug '12 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.