Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Milbo Tanzania Limited

About Us

MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM ni mtandao uliopo chini ya kampuni ya MILBO TANZANIA LIMITED. MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM inategemewa kuwa maktaba ya kuhifadhi mawasiliano ya wafanyabiashara na watoa huduma mbalimbali wenye ofisi,ili iwe rahisi kwa wateja wao wapya na wazamani kuweza kuasiliana nao na kuwapata pindi watakapo wahitaji. Mawasiliana haya ni yale ya namba za simu pamoja na anuani za maeneo ambako biashara hiyo inafanyika.

Mtandao wa MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM umetengenezwa ufunguke kirahisi katika simu zenye internet ili uweze kufikisha taarifa kwa watu wengi zaidi kupitia simu zao za mkononi.

Malengo yetu ni kutunza kumbukumbu na kutoa taarifa za kibiashara kwa mfumo wa matangazo kutoka kwa wafanyabiashara wenyewe kwenda kwa wateja zao wapya na wazamani.

Lengo kuu ni kutoa taarifa muhimu,za mawasiliano kati ya mfanyabiashara na mteja,ili waweze kukutana na kufanya biashara.

Hivyo MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM inatumika kama jukwaa la kukutana kwa wafayabiashara na wateja wao ili kupata mawasiliano na kujua mahali ambapo biashara fulani inafanyika.

Taarifa za mawasiliano na anuani zinazo chapishwa hapa ni zile ambazo zimehakikiwa na kuthibitishwa na mfanyabiashara mwenyewe.

Taarifa zote za wafanya biashara zitatunzwa na kulindwa ili ziweze kufanikisha lengo kuu la kumkutanisha mteja na mfanya biashara husika.

Maktaba hii ya mawasiliano na anuani za wafanyabiashara itakuwa ikitoa huduma kwa masaa 24.

MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM inajumuisha wafanyabiashara wenye ofisi ,au maeneo ya moja kwa moja ya kufanyia biashara,hatujihusishi na wafanyabiashara wanao hamahama au kuto kuwa na ofisi maalum.

KWA NINI WAFANYABIASHARA WANAPASWA KUJISAJIRI NA “MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM”

MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM ni maktaba ya wafananya biashara ambapo taarifa za mawasialiano na anuani za mahali wanapofanyia biashara zo au huduma zao zinawekwa na kutunzwa. Hivyo kama mteja atahitaji kujua mahali ambako kuna aina fulani ya bidhaa inapopatikana ataingia nijuze na kuangalia katika orodha ya wale mfanyabiashara au kampuni inaweza kuingia kwenye aina yoyote ya moja ya makundi ya Mikataba ifuatayo:-

  1. Mfanyabiashara anaweza kuingia mkataba wa miezi mitatu.
  2. Mfanyabiashara anaweza kuingia mkataba wa miezi sita
  3. Mfanyabiashara anaweza kuingia mkataba wa miezi tisa
  4. Mfanyabiashara anaweza kuingia mkataba wa miezi kumi na mbili (mwaka mmoja)
    MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM inajumuisha Nyanja tofauti tofauti za kibiashara hivyo kuwa kituo cha kipekee kabisa cha wateja wa kila aina.Mteja ambae atakuja kutazama kuhusu bidhaa za ujenzi anaweza kuvutiwa pia kutazama matangazo mengine kwa mfano mavazi,vyakula n.k.

Kutokana na aina hii ya majumuisho ya kibiashara katika sehemu moja MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM ni mtandao wa kipekee katika kufikisha taarifa mbalimbali za kibiashara kwa wateja.

MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM inahakikisha inapambana na utapeli wa kimtandao kwa kuhakikisha wale wote wanao tangaza biashara zao humu ni wale tu ambao wana ofisi maalumu za biashara,hii itahakikisha kuwa mfanyabiashara anaye sajiriwa anakuwa na anuani harisi ya ofisi yake ya biashara ilipo hii itasaidia kupunguza wizi wa kimtandao.
MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM Imeanzishwa kwa lengo lakuwasaidia wateja wa bidhaa flani kujua wapi zinapatikana,hili tunalifanya kwa kuambatanisha namba ya simu ya mfanyabiashara husika,anuani ya eneo ambalo ofisi yake ipo pamoja na mawasiliano mengine muhimu, yatakayo muwezesha mteja kufika eneo husika bila tatizo.

MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM inatoa huduma yake masaa 24 katika kufikisha taarifa juu ya mabadiliko ya kibiashara kwa wateja kama vile punguzo la bei,offer mbalimbali n.k. Hii itasaidia wafanya biashara kufikisha taarifa zao za offer na bonus mbalimbali kwa wakati kwa wateja wao.

MILBOCOMPANYTZ.BLOGSPOT.COM ni mtandao unao huhusisha mikoa yote ya Tanzania hivyo wafanya biashara wote kutoka ndani na nje ya Tanzania mnakaribishwa kuja kutuma matangazo yenu.Na matangazo yetu yanasomwa kirahisi kabisa kupitia simu za mkononi na mteja wakati wowote na mahali popote.

Business ID
584139
Milbo Tanzania Limited
Member Since 5. Sep '12 0 Active Ads 0 Published Ads
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.