Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Business ID: 553169

Mafunzo ya Biashara ya Mtandao (Network Marketing) Kwa email

Kinondoni, Kimara Dar Es Salaam Kimara Baruti karibu na Bahama Mama Petrol station
About Us

Kampuni ya CPM Business Consultants inatoa mafunzo ya biashara ya mtandao (Network Marketing) kwa email bila malipo yoyote. Katika mafunzo haya utajifunza mambo yafuatayo;

  1. Historia ya biashara ya mtandao (network marketing)
  2. Muundo wa biashara ya mtandao
  3. Namna ya kupima uhalali wa biashara ya mtandao
  4. Jinsi ya kuchagua kampuni ya kujiunga nayo.
  5. Namna ya kutengeneza kipato
  6. Changamoto za biashara ya mtandao.
  7. Faida za kufanya biashara ya mtandao.
  8. Nini cha kufanya baada ya mafunzo haya.

CHARLES NAZI
MFANYA BIASHARA YA MTANDAO

Mafunzo ya Biashara ya Mtandao (Network Marketing) Kwa email
Member Since 17. Apr '14 0 Total Ads / 0 Active Ads

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.