Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Kuku Project

About Us

Tunauza vifaa vya ufugaji vifuatavyo:

Automatic drinkers' and feeders', Heaters, Cages (mabanda ya kisasa kwa ajili ya vifaranga na kuku wakubwa), Incubators (kuanzia mayai 96 mpaka 21000 na guarantee ya mwaka mmoja), Feeders' na drinkers' za plastics.

Tunatotoresha vifaranga vya kuroilers na bata mzinga kwa order.
Tunatotoresha broilers kila jumatatu na layers kila alhamisi ya wiki.

Tunatoa ushauri wa ufugaji bora na wa kisasa wa kuku.
Pia tunauza bidhaa zetu mikoani kote.

Business Address
MAGOMENI MWEMBECHAI
Business ID
583382
Kuku Project
Member Since 18. Nov '15 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.