Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Kivuyo - Elimu ya Ujasiriamali na Biashara

About Us

Tuko hapa kwa ajili ya kukupa taarifa za ushauri, mafunzo, mbinu na huduma za ujasiriamali na biashara. Namna ya kuanzisha biashara mpya (hatua 26). Namna ya kuendeleza na kuboresha biashara inayoendelea. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako. Namna ya kutafuta mtaji. Namna ya kutambua, kuhatamia na kutumia vyema fursa mbalimbali zilizokuzunguka Namna ya kuthibiti vikwazo katika biashara yako. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.

Business Address
Tuko mtaa wa pangani road jengo la pride karibu na St Thomas Hospital
Business ID
524308
Kivuyo - Elimu ya Ujasiriamali na Biashara
Member Since 3. Aug '12 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.