Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Business ID: 652106

Khabarm Events Management

Kinondoni, Mikocheni Dar Es Salaam Mikocheni B Opposite Ushindi Primary School
About Us

Karibu KHABARM; Karibu tukuhudumie katika huduma zifuatazo;-

  1. Ushauri katika uandaaji wa sherehe au tukio lako mfano Mkutano, semina, warsha, harusi, sendoff au tamasha n.k. *(Event Consultancy)*
  2. kukusadia kuandaa makadirio mpaka bajeti halisi ya sherehe au tukio lako *(Event Budgeting)*
  3. Kukusadia kutafuta mahali pa kufanyia sherehe au tukio lako *(venue search and selection)*
  4. Kukutanisha/kukuunganisha na watoa huduma; punguzo na ubora una hakikishiwa mfano watoa huduma wa chakula *(Catering services); Photo and Video Shooting, MC na Music; Mapambo (decor)*
    *Fika ofisini kwetu Mikocheni B mkabala na USHINDI Shule ya Msingi*....
    Tupigie simu
    Tembelea ukurasa wetu wa facebook
Khabarm Events Management
Member Since 16. Jan '13 0 Total Ads / 0 Active Ads
Verified via:
Email

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.