Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Kalonga Furniture & Building Materials Centre

About Us

Ni watengenezaji wa Fenicha za Nyumbani , na Femicha za Ujenzi kama Milango,Madirisha,Fremu imara na kwa mbao imara za Mninga na Mbao zote imara jamii hii.
Long Description
Tuna tengeneza na kuunganisha Fenicha za aina zote kwa kutumia Mbao ngumu za Mninga (Mbao Nyekundu) na Chuma

Tunapokea ODA ya KAZI toka kwa MTU BINAFSI na MASHIRIKA ya UMMA na BINAFSI yote hapa NCHINI.

Fenicha zetu ni Bora hakuna Mfano.

Una karibishwa Sana.
Products
Fenicha;

  1. Milango
  2. Madirisha
  3. Fremu za Milango
  4. Fenicha zote za Ndani
  5. Uezekaji wa kila namna
  6. Na Bidhaa zote zitokanazo na
    MBAO
Business Address
Ulanga Morogoro Ulanga, Mahenge
Business ID
654930
Kalonga Furniture & Building Materials Centre
Member Since 31. Aug '16 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.