Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Business ID: 626065

Halisi Videos Production

Kinondoni, Magomeni Dar Es Salaam magomeni kagera
About Us

HALISI
VIDEOS PRODUCTION
P.o.box. 41306 ,Magomeni Kagera, Dar es salaam

Tuna shoot videos za aina mbali mbali kwa gharama nafuuu tizama bei zetu

GHARAMA KWA KIMOJA KIMOJA
Video shooting yenye kiwango cha kimataifa (HD) pekee 400,000/=
Picha 100 na album ya kisasa kwa shiling 120,000/=
Picha za frame zenye size ya A4 moja pamoja na frame yake kwa shiling 20,000/=
Projector moja kwa ajili ya live shooting 150,000/=
Mahojiano mafupi mrs &mrs mtarajiwa kablaya harusi na kuya onyesha siku ya harusi {documentary} 120,000/=

GHARAMA KWA JUMLA ILIYO AMBATANA NA PUNGUZO
KIWANGO CHA KWANZA TSH. 470,000/=
Video shooting yenye ubora wa kimataifa HD
Picha mia moja zilizo katika album ya kisasa
DVD za video 4 katika kasha moja
DVD za picha 4

KIWANGO CHA PILI KWA TSH.570,000/=

Video shooting yenye ubora wa kimataifa HD
Picha mia moja zilizo katika album ya kisasa
DVD za video 4 katika kasha moja
DVD 4 za jumla ya picha zote zilizo pigwa katika sherehe hiyo
Projecter moja kwaajili ya live shooting

KIWANGO CHA TATU KWA TSH.670,000/=
Video shooting yenye ubora wa kimataifa HD
Picha mia moja zilizo katika album ya kisasa
DVD za video 4 katika kasha moja
DVD 4 za jumla ya picha zote zilizo pigwa katika sherehe hiyo
Projecter mbili kwaajili ya live shooting

KIWANGO CHA NNE KWA TSH.740,000/=
Video shooting yenye ubora wa kimataifa HD
Picha mia moja zilizo katika album ya kisasa
DVD za video 4 katika kasha moja
DVD 4 za jumla ya picha zote zilizo pigwa katika sherehe hiyo
Projecter mbili kwaajili ya live shooting
Docomentary

Kwakuwajali wateja wetu HALISI VIDEOS itatoa asilimia tano 5% ya kiwangoambacho wateja wetu wata kihitaji kama mchango wetu katika sherehe husika

karibuni nyote

Halisi Videos Production
Member Since 12. Jul '14 0 Total Ads / 0 Active Ads

Contact Business
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.