Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Goldenrule Secondary School

About Us

Goldenrule Secondary School ni shule ya sekondari yenye namba ya usajili S.1348

Sifa za Shule
?Ina mandhari tulivu inayofaa kwa masomo
?Ina walimu wenye sifa na wanaoipenda kazi yao
?Ina nafasi za bweni na kutwa kwa wasichana na wavulana
?Inasajili wanafunzi wa dini zote
?Ina malezi ya kimaadili kwa wanafunzi

Masomo Yanayofundishwa
Commerce
Book Keeping
Basic Mathematics
English
Geography
Biology
Kiswahili
Civics
Physics
Chemistry
Bible knowledge

Fomu zinapatikana katika ofisi zifuatazo
?Mbagala Rangitatu iliyoko barabara ya tatu nyuma ya zahanati ya serikali, Mbagala Zakhem
?Shuleni: Goroka Makorongo, Toangoma eneo la mradi wa viwanja 20,000.
?M & S Secretarial bureau iliyoko kwenye uzio wa shule ya sekondari ya Benjamin W Mkapa, Kibanda namba 42, Mtaa wa Lindi, karibu na shule ya Uhuru mchanganyiko

Business Address
Kama una gari binafsi, njoo mpaka Kongowe mwisho, fuata barabara iendayo Mjimwema mpaka uone kibao cha shule kinachokuelekeza kushoto. Fuata mabango hadi shuleni. Kama unakuja kwa daladala, telemkia Kongowe mzinga. Fuata mabango ya shule.
Business ID
485858
Goldenrule Secondary School
Member Since 8. Jul '10 0 Active Ads 0 Published Ads
Contact Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.