Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Flora Fashion & Tailoring

About Us

Flora Fashion & Tailoring tunatoa huduma za ushonaji wa nguo tofauti tofauti na tuna shona kwa umalidadi wa hali ya juu sana na tuna shona kwa wakati. tunao mafundi wakutosha hata ukija na vitambaa/vitenge vitano au kumi nguo zako utazipata siku iyo iyo. Tupo mwenge Opposite TRA ,Dar es salaam. Kwa maelezo zaidi tupigie

Karibu ufurahie Huduma zetu.

Business Address
mwenge oppositeTRA
Business ID
565803
Flora Fashion & Tailoring
Member Since 19. Jul '12 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.