Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Faraja ya Wanawake na Watoto -Tanzania

About Us

Shirika la Faraja ya Wanawake na Watoto (FAWW) ni shirika lisilo la kiserikari (Non-Governmental organization-NGO)lililoanzishwa mwaka 2012 chini ya sheria ya Non-Governmental Organisation Act,2002,Lenye usajiri namba 00NGO/00006236,Shirika limesajiliwa na linaendesha shughuli zake chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto.

B.MAMLAKA
Shirika lina mamlaka kisheria ya kuendesha shughuli zake ndani ya nchi nzima ya Tanzania Bara.
Makao Makuu ya Shirika yapo Dar es Salaam,Kinondoni Hananasif Mtaa wa Wakulima,kitalu namba 1115.

C.MAONO-VISION
FAWW-Ina maono ya kuleta mabadiliko ya kweli kijamii na kiuchumi kwa wanawake na Watoto-Tanzania.

D.DIRA
FAWW-inaongozwa na kulenga kua na ubunifu utakaoleta mafanikio kwa wanawake na watoto kwa maendeleo ya jamii nzima.

Business Address
Kinondoni Hananasif Dar es salaam wakulima road Plot no1115
Business ID
559907
Faraja ya Wanawake na Watoto -Tanzania
Member Since 10. Aug '12 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.