Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Edmark Shop Tanzania

About Us

Edmark ni kampuni ya Network Marketing (MLM) iliyosajiliwa na kutambuliwa kitaifa na kimataifa.Kitaifa edmark ina ofisi Dar es salaam-Tanzania na makao makuu yake Selangor – Malaysia .

Ni kampuni inayo kuwezesha kufikia ndoto zako za kuwa na Afya njema, Kipato cha ziada, Uhuru wa kifedha, kumiliki Biashara Binafsi, Muda mwingi wa ziada, Safari za Kimataifa, Kujiendeleza Binafsi ki utu, Kuwasaidia wengine, Kukutana na watu wapya, Mpango wa kustafu na Kuacha Urithi Mwema…kwa kushirikisha watu taarifa kuhusu kampuni.

Edmark katika mpango wake wa malipo inatumia mfumo wa HYBRID, Mfumo huu ndio mfumo pekee ulimwenguni uliyokuwa na malipo ya juu zaidi .(Edmark is a hybrid of stairsteps Breakaway and matrix without spillover)..Edmark tuna Bidhaa kwa ajili ya Kupunguza Uzito, kuboresha na kuimalisha kinga za mwili. Bidhaa zote za edmark zimethibitishwa na Mamlaka ya chakula na dawa Tanzania(TFDA) hivyo ni salama kwa afya yako na familia yako na ni salama kwa watu wa rika zote.Bidhaa zetu zimetokana na mkusanyiko wa mazao ya baharini na mashambani.

Business Address
Kinondoni, Msasani Dar Es Salaam 255
Business ID
771231
Edmark Shop Tanzania
Member Since 23. Jan '17 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Phone Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.