Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Ebenezer Boutique with Proffessional MC's & Dj's

About Us

Ni wanawake wajasiriamali tunaojishughulisha na masuala mazima ya ushereheshaji katika Shughuli mbalimbali za jamii kama vile: Harusi, Misiba, Kitchen Party, Sendoff, Matamasha ya Muziki wa Injili, Hafla / Dhifa za kitaifa na kimataifa......pia tunatoa ushauri mbalimbali kwa sherehe zote kwa gharama nafuu kabisa. "Kauli Mbiu yetu: "Wanawake ni jeshi kubwa, kwa pamoja tunaweza" KARIBU SANA.

Business Address
Tunapatikana ndani ya Kigamboni, Ferry mkabala na Stendi ya Mabasi yaendayo Mjimwema maarufu kama Fremu za maduka ya Kanisa la Lutherani. tupo hapo utaona Duka limeandikwa Ebenezer Boutique
Business ID
486502
Ebenezer Boutique with Proffessional MC's & Dj's
Member Since 20. Jul '11 0 Active Ads 0 Published Ads
Contact Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.