Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Ditech Security System & IT Solutions

About Us

DITECH SECURITY SYSTEM & IT SOLUTIONS ni kampuni inayojishughulisha na usambazaji na ufungaji wa vifaa vya kiusalama majumbani na maofisini, shughuli zetu ni kama zifuatazo. 1. CCTV CAMERA, 2.ELECTRIC FENCE, 3. FIRE ALARM, 4. ACCESS CONTROL, 5. ALARM INTRUDER. lakini pia tunafunga vifaa hivyo bila kujali tumesambaza sisi au mteja kanunua mwenyewe (hapo mteja atalipa labour charge tu). TUPO MAKINI NA KAZI ZETU NA TUNAMHAKIKISHIA MTEJA UBORA KATIKA HUDUMA ZETU. TUNAPATIKANA JENGO LA MACHINGA COMPLEX, KARUME GHOROFA YA PILI.

Business Address
Ilala, Ilala Dar Es Salaam TUPO KATIKA JENGO LA MACHINGA COMPLEX WING YA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKEA KWENYE MATAA YA BOMA GHOROFA YA 2.
Business ID
694119
Ditech Security System & IT Solutions
Member Since 16. Sep '14 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.