Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Desha General Suppliers

About Us

DESHA ni wauzaji na wasambazi wa unga wa dona na tunapatikana Dar es salaam, kwa mahitaji ya DONA kwa jumla na rejareja tafadhali piga simu.
Dar es salaam, tutakuletea mpaka nyumbani kwanzia kilo 15, ukihitaji chini ya kilo 15 usisite kuwasiliana nasi kwani tutakujulisha ni siku gani tutakuwepo katika eneo lako,mikoani pia tunasafirisha.
Kwa wale wanaohitaji uwakala, muwasiliane nasi kwa mazungumzo....karibu sana.

KULA DONA KWA AFYA NJEMA.

Business Address
Temeke, Kijichi Dar Es Salaam Temeke kijichi.
Business ID
624197
Desha General Suppliers
Member Since 24. Nov '12 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.