Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Cultural Housing Construction & Tour

About Us

Cultural Housing Construction and Tour ni kampuni inayohusika na utengenezaji wa Nyumba za kitamaduni, Kwa ujumla tunatengeneza nyumba za nyasi, na mabanda ya kupumzikia kwenye mahoteli, nyumbani na Camp site yeyote.

Madhumuni ya Cultural Housing ni kuhakikisha kuwa tuna ukuza utalii wa ndani kwa kutayarisha mazingira bora yatakayowavutia wageni wa aina zote kwani madhari ya kitamaduni kama nyumba za nyasi ni nyumba za kiasili zenye kuleta mvuto na uhalisi wa Afrika.

Nyumba zetu tunaezeka kwa Nyasi, Makuti, Chelewa na vitu vingine kwa aina yeyote mteja wetu atakayohitaji.

Kampuni yetu inakufikia popote ulipo na unakaribishwa kufanya makubaliano nasi kwa ajili ya kuanza kazi yako mara moja.

Tuna uzoefu mkubwa katika kazi zetu pia katika mambo yanayohusiana na utalii kwa ujumla, tuna mafundi wenye bidii na viwango vya kutosha kutimiza lengo lako na kukufanya ujiskie wa kipekee kama mmoja wa watu waliowekeza katika utalii, vifaa vyetu ni vyenye ubora na vya kisasa, tuna vifaa kila kona ya nchi hii...kwa hiyo unakaribishwa sana, jenga nyumba ya kitamaduni kupata madhari ya kitamaduni na kutangaza utamaduni wako kama mtanzania

Business Address
Kinondoni, Kinondoni Dar Es Salaam Kinondoni, Dar es Salaam
Business ID
664164
Cultural Housing Construction & Tour
Member Since 31. Oct '16 0 Active Ads 0 Published Ads
Verified info
Contact Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.