Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Automatic incubator Mpyaa (AUTOMATIC)

About Us

TKwa mahitaji yako ya incubators (Full automatic) za kisasa kabisa za uwezo hadi 98% ya ufanisi wa kutotolesha idadi ya mayai kuanzia 72 hadi 15,000, usisite wasiliana nasi.Sisi ndio waagizaji wa kwanza wa mashine hizi nchini kabla ya baadhi ya watu wasio waaminifu kujiingiza katika biashara hii (na kuagiza mashine "FEKI') ambazo wanaziuza kwa bei rahisi kwa kuwa ni mbovu hawatoi warranty.
Mashine tunazoagiza sisi ni ORIGINAL na zenye teknolojia ya Uingereza (CE CERTIFIED, BRITISH STANDARD). Kukuthibitishia uhakika wa ubora, bidhaa zetu zina warranty ya miezi 12 na ikitokea zikapata tatizo zinatengenezeka (FEKI ZIKIPATA TATIZO HAZITENGENEZEKI).
EPUKA HASARA, NUNUA toka kwetu ufurahie matunda ya uwekezaji wako. Sasa unaweza kulipia CASH kwa mkupuo mmoja au kwa UNAWEZA KULIPIA KWA AWAMU hadi mara 3. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0713600071/0682093529 au whatsapp 076860071

Business Address
Morogoro Mjini Morogoro KANDO KANDO YA BARABARA YA KWENDA DODOMA ENEO LA MBUYUNI/BAR MPYA YA VIBER/MISITU
Business ID
570933
Automatic incubator Mpyaa (AUTOMATIC)
Member Since 20. Aug '15 1 Active Ads 1 Published Ads
Verified info
Contact Business
Email Business
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.